TWENDE HOME

We boi wa Nai ni kunichocha ndio utaacha
Ati unadai kunipelaka wapi? Kempinski!
Ati experience ya kunywa juo ya matunda
Ehh juu matunda hakuna kibandaski
Na kama nnataka kunywa juo baridi
Si ni barafu tu pale kwa Abdalla
Kempinski kaka tuwachie wenye hela

Najua huwezi mind na ka ni kukuamini
Wala hata uskue na was mi nakuamini
Boi wangu si ati nini hebu niambie tu lakini
Kempinski sawa iko poa tunaezaenda sikatai
Na vibanda pia tutasahau lakini dakika ngapi
Karanja anatudai rent hapo itakuwa vipi
Abdalla pia doo za token anatudai

Si unanibamba we chali wa jiji
Enyewe mawanaume ni kujiamini
Hadi Venice tutaenda si ndio unadai
Dreams are valid hakuna vingine mi naezadai
Parapanda nazo, sawa mi mrembo sikatai
Lakini si umenichocha sana na umeshawai
Twende hivi nikatiwe skunje na mama Fei

Hebu kwanza chukua unga hapo kwa Onyi
Na akikuuliza doo za jana mshow si saa hii
Ati utasimama unaomba niketi
Si una matisho leo umekula nini kwani
Kubebana nitakuweza ama uanamaanisha nini
Zile vitu umekula leo ndio sijui ni gani
Hebu twende home unipe maneno vizuri

©️ C Akui 2020/11/26

#Carolsinsights #ThatAfricanGirlPoetry

Image c/- Google for illustration

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s